Exodus 29:40

40 aPamoja na mwana-kondoo wa kwanza utatoa efa moja
Efa moja ni sawa na kilo 22.
ya unga wa ngano laini uliochanganywa na robo ya hini
Robo ya hini ni sawa na lita moja.
ya mafuta yaliyokamuliwa, pamoja na robo ya hini ya divai kuwa sadaka ya kinywaji.
Copyright information for SwhNEN